POPNABLE tanzanie tanzanie

  • Page d'accueil
  • Radio Hits 2024
  • Radio Popnable
  • S'inscrire
  • Connexion
  • Découvrir
    • Découvrir
    • Chansons
    • Artistes Musicaux
  • Graphiques Musicaux
    • Graphiques Musicaux
    • Hot 100 Chansons - Quotidiennes
    • Top 100 Des Chansons - Quotidien
    • Top 40 Des Chansons
  • Page d'accueil
  • tanzanie
  • Chansons
  • Israel & Palestine Tears (Freestyle)
  • Paroles Et Traductions

Paroles Et Traductions - Israel & Palestine Tears (Freestyle)

— chanté par Rapcha

"Israel & Palestine Tears (Freestyle)" paroles et traductions. Découvrez qui a écrit cette chanson. Découvrez qui est le producteur et réalisateur de ce clip vidéo. "Israel & Palestine Tears (Freestyle)" compositeur, paroles, arrangement, plateformes de streaming, etc. "Israel & Palestine Tears (Freestyle)" est une chanson interprétée sur swahili. "Israel & Palestine Tears (Freestyle)" est chanté par Rapcha
  • Page d'accueil
  • paroles et traductions
  • classements musicaux
  • Statistiques
  • gains
  • acheter la chanson
Israel & Palestine Tears (Freestyle) Clip musical
Download New Songs

Listen & stream

×

Regarder sur Youtube

×
Vidéo
Israel & Palestine Tears (Freestyle)
Pays


 Tanzanie Tanzanie
Ajoutée
01/01/1970
Reportage
[Pas lié à la musique ] [Ajouter un artiste associé] [Supprimer l'artiste lié] [Ajouter des paroles] [Ajouter la traduction des paroles]

"Israel & Palestine Tears (Freestyle)" paroles de chanson

"Israel & Palestine Tears (Freestyle)" a des paroles en swahili langue.
La signification de "Israel & Palestine Tears (Freestyle)" vient de la langue swahili et n'est actuellement pas convertie en traduction anglaise.

Stream/Download TTV2:

LYRICS

You look so pretty in that dress hebu turn around

Smile uliyovaa kwenye face worth a million pounds

Fill my phone with pictures ukiwa kwenye Fest

Ukirudi naomba unipe story how the party went

One thing kabla hujaenda

Ntafurahi ka’ utawahi kurudi home kama sa’hivi unavyowahi kwenda

You and your sister

Take care of yourselves

Call me when you get back home, love you. Bye

[Interlude]

Okay baby

I’ll fill your phone with my pictures

I’ll come back soon

I love you

Take care


Let me take you back to July 2023 nilipopata kazi kwenda ku’perform Zanzibar

I had to spend few days baada show,

Here and there getting some tings done kabla sijarudi Dar

One day nikiwa beach nkakutana na huyu mrembo ameshika camera anaipiga picha sunset

Alikua na uzuri wa kutosha kunifanya nione sina neno zuri la kumkosha tuka’connect

Okay

The beauty i see in sunset reflects the beauty i see in your face

Akasmile

Na ndo hapo ikawa mwanzo wa kuongea

Tukaongea zaidi mpaka giza likajiongea

Jina lake anaitwa Suha she is prettier than I’ve ever seen

Mama ni muisraeli Baba ni mpalestine

Anaishi Tel Aviv Zenji yupo for vaccay

Exchange contacts ikafika next day

Phone conversation for hours nikamuomba date

Tulikua nervous kuonana like we’ve never met

Pure dialogue ikaflow siku play rude

Namfundisha kiswahili tukila swahili food

Love ilitanda kwenye air if you know u know

Under control but really hard to take it slow

Hop’ kwenye ndinga mpaka Stone town

Next thing i know, tumeamka wote day 4

Alikua na wiki mbili zaidi za kukaa zenji,

Muda tunaagana ili nirudi Dar akanambia

Nini bora zaidi yako ntachokiona Zanzibar?

Just like that tukavuka wote kuja Dar

Best two weeks of my life coz naishi kila siku ila izo wiki mbili nili’feel alive

Kanyoosha mikono amenikabidhi moyo wake

Nami n’kampa wangu na ujauzito kwenye tumbo lake

Culture ni tofauti ila tume’match very well

Anaona potential kwangu more than any other girl

Crying everytime akikumbuka zimebaki 3 days za kuniona anarudi kwao Israel

Baba ake anafanya kazi Gaza

So amepanga akienda kwao atamfata kumsalimu na kuniitroduce

Kichwani nina wazo la ku mu’engage bethlehem pale ambapo wazazi wake wataniapprove

And (phone is ringing)

(Gunshots & bombs)

Hello babe!

Hello

Hello

[Hook: Vii Sugar Boy]

Naomba Mungu baba til that day naona sura yako again

Labda inaweza ease my pain

Maana siko sawa

Nawaza kuwazua nakosa majibu

Siku naona zinakwenda taratibu

I miss you girl ah ah ah ah


Bado naamini one day (coz I believe)

Nitakuona one day (coz I believe)

Bado naamini one day

Coz I believe kila kitu kitakuwa sawa

Bado naamini one day (coz I believe)

Nitakuona one day (coz I believe)

Bado naamini one day

Coz I believe kila kitu kitakuwa sawa


[Verse 2]

I couldn’t eat

I couldn’t drink

Nilikesha nkijaribu call her phone

I couldn’t sleep

Then baada ya week ikaja idea

N’kamtafute sister ake kwenye aliowafollow IG

Nikaingia nkaanza kupekua

Page baada page naenda namsakua

Baada ya kulikosa jina nnalojua

Tushaongea video call mara mbili akiwa na Suha so nilipoingia page yake nikamtambua

Slide kwenye direct message ili nikamcheki

Ninakuta 3 days back aliniachia three texts

Moyo wangu uli’burst ukakata break

Vile nnavyofeel haielezeki, akanambia

A party turned to hell

Baada ya kuwa attacked Festival ikageuka ghasia

Watu wakikimbia here and there kuokoa maisha Suha alisukumwa akaupamia mti akaumia

But Thank God she made it to the hospital

Yupo kitandani kwenye coma since a week ago

Ripoti ya daktari inaeleza kuwa injury aliyopata inaeza sababisha memory na identity loss

Baba yake akiwa anapambana atoke Gaza
aende kumuona mwanae bahati mbaya hakufanikiwa

Baada ya shambulio la mabobu yaliyoshuka Gaza kumkuta mauti yakampata aliposhambuliwa

Moyo unableed, Nna maswali mengi in my head

Majibu nnayojipa ndo yazidi nivuruga head
Sina nnachoweza kubadili kwenye yaliyotokea

Jah atanionesha kitachoendelea





#rapcha #viisugarboy #israel&palestinefreestyle

Popnable © 2015-2025

About ToS What's New Contact Us Privacy Copyrights (DMCA)